Mabinti naomba niwakumbushe!

Mabinti naomba niwakumbushe!

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
977
Naomba kuwakumbusha muweze kutofautisha elimu za darasani na elimu ya maisha! Ni vitu viwili tofauti!

Hamuolewi kwasababu ya degree zenu mlizonazo. Elimu mlizozipata shuleni sio sifa au kigezo cha wewe kuolewa. Mkumbuke majukumu ya mwanamke ndani ya nyumba kulingana na tamaduni zetu waafrika.


Kuwa na elimu fulani, au kufanya kazi fulani sio kigezo cha wewe ni haki yako kuolewa!

Bahati nzuri mimi sikuoa cheti cha taaluma wala kazi! Nilibahatika kupata mke!

Jifunzeni pia elimu ya mtaani ili muweze kuyaishi maisha ya ndoa vyema.
Hakiolewi cheti cha taaluma wala kazi yako.
 
haukumbushi bure mkuu nahisi kunasehemu umekula za uso ndo mama zetu asa tutafanyaje nikuwavumilia tu au vepe
 
Hii week mnadeal na jinsia ya kike waliosoma na wanaojiweza kiuchumi tu!

Afadhali mie ambaye sijasoma mixer sina hela hizi kashfa hazinihusu kabisa
 
Kunywa maji kwanza..aya mambo haya itaji hasira
 
Mzee baba umeangukia pua nini, hapa jirani kuna mchizi alikuwa na demu wake sasa uyo demu alikuwa amesoma kimtindo sasa jamaa aliona dharau zimezidi alichokifanya ni kuchukua vyeti vya demu akavichana ikawa mwisho wa nyodo,
 
Mzee baba umeangukia pua nini, hapa jirani kuna mchizi alikuwa na demu wake sasa uyo demu alikuwa amesoma kimtindo sasa jamaa aliona dharau zimezidi alichokifanya ni kuchukua vyeti vya demu akavichana ikawa mwisho wa nyodo,
Mimi binafsi nimeoa mke, sikuoa hizi type mbovu
 
Point ni " Jifunzeni pia elimu ya mtaani ili muweze kuyaishi maisha ya ndoa vyema"....
 
Back
Top Bottom