Mabinti naomba niwakumbushe!

Mabinti naomba niwakumbushe!

Naomba kuwakumbusha muweze kutofautisha elimu za darasani na elimu ya maisha! Ni vitu viwili tofauti!

Hamuolewi kwasababu ya degree zenu mlizonazo. Elimu mlizozipata shuleni sio sifa au kigezo cha wewe kuolewa. Mkumbuke majukumu ya mwanamke ndani ya nyumba kulingana na tamaduni zetu waafrika.


Kuwa na elimu fulani, au kufanya kazi fulani sio kigezo cha wewe ni haki yako kuolewa!

Bahati nzuri mimi sikuoa cheti cha taaluma wala kazi! Nilibahatika kupata mke!

Jifunzeni pia elimu ya mtaani ili muweze kuyaishi maisha ya ndoa vyema.
Hakiolewi cheti cha taaluma wala kazi yako.
Ongeza sauti mkuu, huku hawajasikia
 
Back
Top Bottom