Mabinti na kazi

Mabinti na kazi

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Asalaaaaam kwenu nyoteee. Leo nakuja na hoja ndogo ila kubwa.
Inaaminika kuwa Mabinti wengi waliomaliza chuo hupata kazi baada ya kuliwa uroda na waajiri hasa hasa wa sekta binafsi. ( fani za utabibu na ualimu hazihusiki hapa)
Nani mwenye Imani tofauti na hii?
 
Wanasema 1. tumia ulichonacho kupata unachokitaka. 2. Ukitaka kufanikiwa maishani ni lzm ukubali kufanya jambo ambalo hujawahi lifanya tangu umeletwa duniani.
 
Hatari sana Nokia torch
 
Papuchi lazima iliwe,si unajua walivyo na nyodo wakipa kazi,yaan naila na manyoya yake kudadadadadadadeki
 
Naona umetafuta kazi mpk soli imeisha sasa umeona bora utafute cha kuandika upunguze msongo.
 
Asalaaaaam kwenu nyoteee.
Leo nakuja na hoja ndogo ila kubwa.
Inaaminika kuwa Mabinti wengi waliomaliza chuo hupata kazi baada ya
kuliwa uroda na waajiri hasa hasa wa sekta binafsi. ( fani za utabibu na
ualimu hazihusiki hapa)
Nani mwenye Imani tofauti na hii?

wew acha tu najuta kusoma yaan nimeomba kazi nikaambiwa nichague interview itaifanyia wap? ata kama nje wa nchi? kazi kushinei
 
Asalaaaaam kwenu nyoteee. Leo nakuja na hoja ndogo ila kubwa.
Inaaminika kuwa Mabinti wengi waliomaliza chuo hupata kazi baada ya kuliwa uroda na waajiri hasa hasa wa sekta binafsi. ( fani za utabibu na ualimu hazihusiki hapa)
Nani mwenye Imani tofauti na hii?

Walimu wanapotaka kupangiwa kituo kilichopo mjini na kukwepa kutupwa porini huwa wanajeruhiwa pia
 
kiongozi wetu mkuu magogoni (baba riz1) alishasema ukitaka kula lazima ukubali kuliwa.
 
Inatokea but not always. Rushwa ya ngono imekuwepo toka enzi na enzi, so its not a new thing. Tusi genaralize mambo. Wengi wao wanaoliwa wanatafuta kazi wakiwa wameshika chupi mkononi. Namaanisha wanataka wao kutoa rushwa ya ngono. The same applies kwa wanafunzi wa vyuo. Unamwambia lecture please im ready for anything ilimradi ni pass somo hili. What do you expect, ukikataa matakwa yake anaanza kutangaza eti ulikuwa una mtaka akakunyima ndo umemfelisha.

kuna kipindi zilitoka nafasi za kwenda kusoma ofisini kwetu, nafasi 2, ila kada tofauti. Kwa kida ninayoiongoza kuna possible three candidates. Wawili wanawake na mmoja mwanaume, nafasi moja. Nilishangaa these ladies kila mmoja alitaka anishawishi kwa K ili nimpe nafasi, ingawa siyo direct lakini mtu mzima unajua pale binti anapokuwa anataka kukutega. So nilichofanya, nilimuoomba boss wangu akubali tuombe chuo kimoja wapo wawafanyie usahili wa mtihani ili kuondoa maneno. Mwanaume alifaulu akaenda zake.so in most cases wanawake wenyewe ndo wanakuwa wanataka kutumia advantage za papuchi zao kufanikiwa kwenye lile wanalolitaka.
 
Back
Top Bottom