Mabinti kwa nyodo na kutojiamini

Mabinti kwa nyodo na kutojiamini

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
15,941
Reaction score
20,231
wana chit choo,naomba kwanza munikaribishe ingawa si mgeni kwa jukwaa.kuna kitu huwa nashangaa sana.mara nyingi nnapokutana na mabinti hawa toka hilo bara letu la hukoo mbali(Africa) au hata hapo bongo.ingawa bongo kidogo wana displin hasa wakiona umetupia vitu vya kijanja si mchina. mara nyingi hawa mabinti huku ubatani wanajiona wamefika sana halafu ukiwatizama wamekomaa,wachafu,wanatoa harufu ya jasho hawajui kuoga wala kupiga mswaki wakati huku maji moto ni bure.
kazi inakuja pale unapoingia mahali kwenye fiesta fulani hivi,watakutizama juu chini kisha wananyonga midomo yao inayotoa harufu kukunyali km vile we kitoko tu.we unawachora tu maana unajua kiboko yao anakuja.

sheshe linakuja pale mwandani wako anapotimba mahali pale.kapiga vyombo vya uhakika,anawaka ng`arin`gari halafu ukute mchumba mwenyewe mtamuuu,figa 8,ukija nyuma ana kamzigo fulani kama kanadondoka.face ndo daaaah,yaani ni balaaa.halafu huyo mtu wako akifika mahali pale bila haya wala aibu anafika anakutwanga na mabusu kama milioni hivi na mnatafunana kidogo(kula denda)bila aibu.baada ya hapo binti anakuletea kinywaji na kuanzia hapo inakua ni full service.
hapo sasa utaona wale mabinti visoronkwinyo wanavyoanza kukuvizia

kwanza wataanza na huyo mtu wako kujipendekeza kujifanya na wao wametoka na wewe Africa,baada ya hapo itakua ni mastoro na wanakua karibu na wako kuliko wewe.
badae wanakuingia nawewe vilevile tena sio kistaarabu kwa vitisho huku wakidai ukunikataa namwambia mchuchu wako kwamba umenitongoza.
nnachowaonea huruma mara nyingi ni kwamba mshika dau sasa hivi nayy ni mgumu na kashawajulia hawa nyangàu hivyo anakaba mpaka nyuma ya nyavu.

swali nawauliza mabinti huwa mnashida gani haswa mpaka kufikia kufanya hivyo??anyway najua sie huwa tunawapenda tu kihivyo hivyo maana tunajua kwamba wote tumetokea kuleeee kwenye kula ugali na uji ama ubuyu na chai.
inabidi mbadilike vinginevyo tutasitisha hata salamu mpaka hapo baadaye sana:amen:
 
Mbona kama mleta mada una nyodo vilevile?
 
Kwakweli.

Hapo nani mwenye nyodo kati ya hao mabinti na mtoa maada??

Au ya mtoa maada tuyaite ni mashauzi?

haya mazito mkuu,yamekaa kisharo balo sana,ukute ni wale wanaovalia suruali wanaziita kata k,unaogopa hata kusemezana nae.....
 
Kaka dada hueleweki! na we ni binti nini? au umebadili jinsi kutoka me kwenda ke? mbona nyodo tupu na mashauzi kibao!. Kama we si kundi la wa TZ ambao Mh Nkamia anawaita wo wowoh basi ni wale ambao mzungu Sarah wa Arusha anawaita pig! Uzi wako umenichefua naondoka JF usiku huu!
 
Kakadada hueleweki! na we ni binti nini? au umebadili jinsi kutoka me kwenda ke? mbona nyodo tupu na mashauzi kibao!. Kama we si kundi la wa TZ ambao Mh Nkamia anawaita wo wowoh basi ni wale ambao mzungu Sarah wa Arusha anawaita pig! Uzi wako umenichefua naondoka JF usiku huu!
 
Mleta mada ulichoongea kina ukweli fulani,kuna jamaa walishamfanyia visanga hana hamu aisee
 
Nahisi kiswahili sikijui mimi,au vile siko home miaka kibao nahisi kiswahili kimebadilika,
Sijaelewa hii story kabisa nisaidie mlioelewa
 
haya mazito mkuu,yamekaa kisharo balo sana,ukute ni wale wanaovalia suruali wanaziita kata k,unaogopa hata kusemezana nae.....

Hilo nalo linawezekana.
Alafu anageuza shingo as if anachukuliwa video . . . pheeeeew!!
Basi tu, mradi naye aonekane kwamba ni "somebody".

Anyways . . . sio mbaya katujulisha tu kuwa ye ubatani si mgeni.
 
Wee si tulikua mashatibaro na kina mbowe miaka ya kalikiti
 
Kaka dada hueleweki! na we ni binti nini? au umebadili jinsi kutoka me kwenda ke? mbona nyodo tupu na mashauzi kibao!. Kama we si kundi la wa TZ ambao Mh Nkamia anawaita wo wowoh basi ni wale ambao mzungu Sarah wa Arusha anawaita pig! Uzi wako umenichefua naondoka JF usiku huu!

Kwa jinsi ulivyoongea nna imani una kitambi cha funza.nkamia we unamuona supastaa f ala--- kwel ww kaoge
 
Hilo nalo linawezekana.
Alafu anageuza shingo as if anachukuliwa video . . . pheeeeew!!
Basi tu, mradi naye aonekane kwamba ni "somebody".

Anyways . . . sio mbaya katujulisha tu kuwa ye ubatani si mgeni.

Kipwimpwi sio ww bana ingawa umekasirika🙄
 
wana chit choo,naomba kwanza munikaribishe ingawa si mgeni kwa jukwaa.kuna kitu huwa nashangaa sana.mara nyingi nnapokutana na mabinti hawa toka hilo bara letu la hukoo mbali(Africa) au hata hapo bongo.ingawa bongo kidogo wana displin hasa wakiona umetupia vitu vya kijanja si mchina. mara nyingi hawa mabinti huku ubatani wanajiona wamefika sana halafu ukiwatizama wamekomaa,wachafu,wanatoa harufu ya jasho hawajui kuoga wala kupiga mswaki wakati huku maji moto ni bure.
kazi inakuja pale unapoingia mahali kwenye fiesta fulani hivi,watakutizama juu chini kisha wananyonga midomo yao inayotoa harufu kukunyali km vile we kitoko tu.we unawachora tu maana unajua kiboko yao anakuja.

sheshe linakuja pale mwandani wako anapotimba mahali pale.kapiga vyombo vya uhakika,anawaka ng`arin`gari halafu ukute mchumba mwenyewe mtamuuu,figa 8,ukija nyuma ana kamzigo fulani kama kanadondoka.face ndo daaaah,yaani ni balaaa.halafu huyo mtu wako akifika mahali pale bila haya wala aibu anafika anakutwanga na mabusu kama milioni hivi na mnatafunana kidogo(kula denda)bila aibu.baada ya hapo binti anakuletea kinywaji na kuanzia hapo inakua ni full service.
hapo sasa utaona wale mabinti visoronkwinyo wanavyoanza kukuvizia

kwanza wataanza na huyo mtu wako kujipendekeza kujifanya na wao wametoka na wewe Africa,baada ya hapo itakua ni mastoro na wanakua karibu na wako kuliko wewe.
badae wanakuingia nawewe vilevile tena sio kistaarabu kwa vitisho huku wakidai ukunikataa namwambia mchuchu wako kwamba umenitongoza.
nnachowaonea huruma mara nyingi ni kwamba mshika dau sasa hivi nayy ni mgumu na kashawajulia hawa nyangàu hivyo anakaba mpaka nyuma ya nyavu.

swali nawauliza mabinti huwa mnashida gani haswa mpaka kufikia kufanya hivyo??anyway najua sie huwa tunawapenda tu kihivyo hivyo maana tunajua kwamba wote tumetokea kuleeee kwenye kula ugali na uji ama ubuyu na chai.
inabidi mbadilike vinginevyo tutasitisha hata salamu mpaka hapo baadaye sana:amen:

chit choo ni jukwaa jipya au?
 
Back
Top Bottom