Mabinti haya ndo mambo ya ndoa. Jipange

Mabinti haya ndo mambo ya ndoa. Jipange

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
579
Reaction score
414
mwezi mmoja baada ya kufunga ndoa, mama mmoja alimpigia binti yake simu; Na mazungumzo yao yalikuwa hivi

mama: unayaonaje maisha ya ndoa mwanangu?
binti: kama BRITISH AIRWAYS

mama hakumuelewa mwanae, kisha kesho yake ikabidi aende ofisi za british airways, then akaambiwa
kwa wiki inasafiri mara saba, na ikisafiri inapitia nchi tano, na kila safari moja inatua vituo vitatu. Mama kusikia hivyo akazimia
 
we orijino yako iko wap?au ndo full kujua...........
 
Back
Top Bottom