Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
<br />...its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...
<br />
Ina maana humu jf kuna mabinti wepesi?
<br />...its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...
maono ya mtoa mada ni maono ya mtu mzinzi.... facebook ni social network.. they are trying to be social ...! jf ni forum lazima wawe serious na michango maswali yanaulizwa humu! give e`m a break!
sidhani kama mwanaume anaweza onyesha makalio.. matiti... mapaja..... wewe kama upo huko tugee ID yako tuku add
...its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...
Wanaume mpooo.... Kuna warembo wanajitahid kwa uwezo waliopewa na MUUMBA wao.. kuweka pozi nzuri,wanaonyesha vizuuri miili yao,sehemu zao ambao wao wanahisi zina mvuto.. ktk miili yao.. Jaman wanaume hawa watoto hawafanyi bure.. wanataka wanaume wawasifie na mwisho wa siku wawatongoze... na kama vip ............???? Sijui.. Tuwape MSAADA..
<br />. . . . Wanaume tunapoelekea cku hz cpo! Kujadili vitu vya ajabu visivyo na tija!
Taja hizo id basi?
Mbona kimyaa?
kwahiyo hawa wa jf watachelewa kupata wenza[kwa ambao hawajapata]?
exactly @data naunga mkono hoja yako na wala sitoi shilingi,,,,,maudhui ya facebook na malengo yake yanachakachuliwa eti wanatafuta wachumba mle,wizi mtupu.......its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...
Hiyo si ndio nia mojawapo ya malengo ya facebook. Na kwenye facebook inasemekana kuna members kama 6m sasa je hao ni target audience? Na siku hizi ukipata mchumba au ukikutana na potential basi wewe nenda kwanza kwenye facebook ukaone comments na hiyo mipicha aliyo-display pale. Nakumba Obama aliwahasa vijana wa US kuhusu kuweka taarifa zao kwenye facebook kwani hata waajili kabla ya kuajili uangalia facebook!!