Mabint wanauza FACEBOOK jaman.. They need Men's SUPPORT

maono ya mtoa mada ni maono ya mtu mzinzi.... facebook ni social network.. they are trying to be social ...! jf ni forum lazima wawe serious na michango maswali yanaulizwa humu!

give e`m a break!
 
maono ya mtoa mada ni maono ya mtu mzinzi.... facebook ni social network.. they are trying to be social ...! jf ni forum lazima wawe serious na michango maswali yanaulizwa humu! give e`m a break!



social... nakedness..!!? They need help. I tell you. try one... Sikubaliani na hiyo 'red bolded'
 
sidhani kama mwanaume anaweza onyesha makalio.. matiti... mapaja..... wewe kama upo huko tugee ID yako tuku add

nenda uarabuni huko ndiko watu wanavaa kufunika hivyo vitu ulivyovitaja,tuache na uhuru wetu by the way facebook kila aina ya watu wapo hadi wavaa baibui na wao wanahitaji suport ya nani?
 
Na wanaume wale wanaoingia fb na kuanza kuomba misaada kwa mademu,si tumeona humu jf na kuonywa kwamba kuna vijana wanatongoza then wanaanza kuombaomba ovyo misaada mbona hao huongelei.Mie sio member wa fb na wala siifagilii ila sioni umuhimu wa kuleta hoja kama hii,kwani mtu akitongozwa na kukubali si hiyari yake mwenyewe?
 
ndio maisha hayo siku hizi pia kuna sites nyingi za dating duniani utakuta wasichana wengi tu labda hata nduguzo

wengi wanapata watu na kufurahia maishani
 
sidhani lengo lao wote ni la kingono lakini wengi wao wanatangaza biashara zao.....................kama wanamuziki wanataka ununue santuri zao.....kama wacheza filamu wanataka ununue bidhaa zao........ila malaya tu ndiyo wapo kwenye hilo kundi la kukuhitaji uwatongoze kwa kuwalipa ujira kwa huduma watakayokupa.....................
 
Wanaume mpooo.... Kuna warembo wanajitahid kwa uwezo waliopewa na MUUMBA wao.. kuweka pozi nzuri,wanaonyesha vizuuri miili yao,sehemu zao ambao wao wanahisi zina mvuto.. ktk miili yao.. Jaman wanaume hawa watoto hawafanyi bure.. wanataka wanaume wawasifie na mwisho wa siku wawatongoze... na kama vip ............???? Sijui.. Tuwape MSAADA..

Hiyo si ndio nia mojawapo ya malengo ya facebook. Na kwenye facebook inasemekana kuna members kama 6m sasa je hao ni target audience? Na siku hizi ukipata mchumba au ukikutana na potential basi wewe nenda kwanza kwenye facebook ukaone comments na hiyo mipicha aliyo-display pale. Nakumba Obama aliwahasa vijana wa US kuhusu kuweka taarifa zao kwenye facebook kwani hata waajili kabla ya kuajili uangalia facebook!!
 
kwa nini tuchelewe kupata wenzi? si tnaangalia avatar na comments kama fb? and photos can lie,u know... na fb kujiunga na watu usiowajua ndo ujuha wa kwanza unless u have a common interest (hata sura can be one of them). kuna mdada nilisoma nae kajiandikia besdei ten years younger!

kwahiyo hawa wa jf watachelewa kupata wenza[kwa ambao hawajapata]?
 
Mabinti wote wana sifa moja awe jf facebook anapatikanika tu bila shida hakuna cha kuwa serious wala shangaz yake nani so mie naendelea na wahumuhumu
 
...its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...
exactly @data naunga mkono hoja yako na wala sitoi shilingi,,,,,maudhui ya facebook na malengo yake yanachakachuliwa eti wanatafuta wachumba mle,wizi mtupu....
 
Hiyo si ndio nia mojawapo ya malengo ya facebook. Na kwenye facebook inasemekana kuna members kama 6m sasa je hao ni target audience? Na siku hizi ukipata mchumba au ukikutana na potential basi wewe nenda kwanza kwenye facebook ukaone comments na hiyo mipicha aliyo-display pale. Nakumba Obama aliwahasa vijana wa US kuhusu kuweka taarifa zao kwenye facebook kwani hata waajili kabla ya kuajili uangalia facebook!!

safi sana... Mwanamayu...
 
<br />
<br />
Childish stories!mtoa mada amesahau kuwa fcbk ni mtandao wa jamii!hii ni humiliation kwa dada zetu!

na mie sipendi wanavyojidhalilisha... picha chafu jamii yote yaona.. Amka Wit.........
 
Back
Top Bottom