Mabingwa wa kutengeneza Automatic Hydroponic Systems

Mabingwa wa kutengeneza Automatic Hydroponic Systems

DOGMA

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
24
Reaction score
8
Hydroponic technology ni sayansi ya kuotesha mmea kwa kutumia maji tu yaliyochanganywa na virutuvisho kadhaa. Ngano,shairi, ulezi,mtama nk huweza kuoteshwa ili kupata FODDER kama chakula cha mifugo -kuku, nguruwe, bata, kanga,sungura,ng'ombe nk.

Fodder hizi zina virutubisho vingi vinavyofanya mifugo kuwa na afya, na kinga kubwa dhidi ya magonjwa.

Kwa ufugaji wa kisasa na wenye tija tumia mfumo wa kisasa kabisa wa teknolojia hii .tunaoutengeneza .
Mfumo huu ni

1. Bei nafuu
2. Rahisi kuendesha kwani unajiendesha wenyewe kwa kutumia sensors mbalimbali
3. Haupotezi maji kwani (water recycling approach)
4. Ni rahisi kuufunga(easy installation)
5. Unatumia umeme kidogo sana (just one unit per day)
6. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi kama vile alminium trays. Motors, relays, sensor,microcontroller nk

Karibu jipatie Automatic Hydroponic System kwa ajili ya ufugaji bora na wenye tija

Mawasiliano

0768683758
images-8.jpg
images-7.jpg
 
Back
Top Bottom