Mabingwa wa kupaki basi

Mabingwa wa kupaki basi

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Chelsea wametisha sana.

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php



attachment.php

Logo Mpya Ya Chelshit Fc.
 

Attachments

  • chelsea bus.jpg
    chelsea bus.jpg
    23.4 KB · Views: 952
  • chelsea wall.jpg
    chelsea wall.jpg
    34.4 KB · Views: 956
  • chelsea bus parking.jpg
    chelsea bus parking.jpg
    64.4 KB · Views: 699
  • chelsea buus.jpg
    chelsea buus.jpg
    30.4 KB · Views: 671
  • chelsea ukuta.jpg
    chelsea ukuta.jpg
    34.1 KB · Views: 149
  • chelsea formation.jpg
    chelsea formation.jpg
    32.3 KB · Views: 697
  • 10294257_1022179107822305_2091690584418227546_n.jpg
    10294257_1022179107822305_2091690584418227546_n.jpg
    58.6 KB · Views: 719
Ndo mbinu pekee aliyonayo maureen tofauti na hapo ushindi wao ni wa ujanjaujanja na kubahatisha tu!
 
na kwa staili hiyo utakuta anachukua kombe!timu bora zinatolewa kwa hila za kupaki gari!wanasahau sisi mashabiki tunahitaji zaidi ya ushindi!mpira starehe bwana!
 
ukitaka starehe nenda baa..au kacheze bonanza.
na kwa staili hiyo utakuta anachukua kombe!timu bora zinatolewa kwa hila za kupaki gari!wanasahau sisi mashabiki tunahitaji zaidi ya ushindi!mpira starehe bwana!
 
Si kweli..ingekuwa mbinu pekee asingeweka rekodi ya kufunga magoli mengi kwenye LA LIGA mwaka juzi.
Pia rekodi ya kufunga magoli mengi na pointi nyingi msimu wa 2005 ENGLAND.

hata mwaka huu kaweka rekodi kuifunga ARSENAL FC goli 6-0. ilikuwa burudani safi snaa.
Ndo mbinu pekee aliyonayo maureen tofauti na hapo ushindi wao ni wa ujanjaujanja na kubahatisha tu!
 
Mashabiki wa Man U utawajua tu. Kashangilie Moyes kuondolewa kibarua chake.
 
chelsea naifananisha na Faru dume FC ya hapa mtaani..Mpira wa kihuni tu.
 
Mashabiki wa Man U utawajua tu. Kashangilie Moyes kuondolewa kibarua chake.

Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.

Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
 
Mtaelewa tu, cha maana ushindi haijalishi mbinu gani umetumia kuupata
 
jukumu lako si kukufurahisha wewe..walaumu ATM kwa nini wameshindwa kulipiga bomu basi..acha hoja za za kizamani.

lazima kwenye maisha uwe na 'LENGO' lengo lako la kwenda kazini ni kufanya kazi ili upate pesa au kutembea tu?
Lengo la CHELSEA FC ni mataji..pole sana mkuu naona roho inakuuma sana..CHELSEA FC THE ONLY TEAM FROM ENGLAND IN THE SEMIS.
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.

Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
 
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.

Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.

Hapo kwenye red umeboreka kama mshabiki wa timu gani?
 
Mpira una mifumo mingi ya kucheza:

4-4-2.
4-3-3.
4-2-3-1.
4-5-1.
4-1-4-1.
4-6-0.
Ma mingine mingi. Jana Chelsea walicheza 'narrow' 4-3-3.
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.

Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
 
Morinho ni mzee wa kuwajaza upepo wachezaji wa Chelsea. Aliwahi kumwambia essian kuwa yeye ndo mchezaji bora wa dunia na kwamba akina Ronaldo na messi ni bahati tu....teheteheheheheeeee
 
Mpira una mifumo mingi ya kucheza:

4-4-2.
4-3-3.
4-2-3-1.
4-5-1.
4-1-4-1.
4-6-0.
Ma mingine mingi. Jana Chelsea walicheza 'narrow' 4-3-3.

Mkuu, umesahau mfumo mmoja wa kupaki Bus 1: 9: 1
 
Chelsea huwa wanacheza mfumo wa 9-0-1
 
Back
Top Bottom