Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza


Akiwa kwa wenzetu FISADI akija kwetu msafi, shujaa,, anaonewa
Siasa ni unafiki..

Hakuna upande mwema, wote ni wajanja wajanja, wanachumia tumbo si ccm, wala chadema, wala chama chochote..
 
Mkuu, unamwuliza nani? Nyalandu alikuwepo huko Sikh zote. Wewe ulikuwa wapi kuhoji hayo maswali? Huu ndio tunaoita UNAFIKI.
 
Hivi ni nani aliyepewa kinyago cha million 200!
au yuko kwenye mahakama ya mafisadi?
Kwa taarifa yako kama unamfahamu hayuko salama. Iwapo bado ni raia huru kiukweli hayuko huru, kivile. Na wengine wote.
 
Mkuu, acha kuongelea ndoa za watu. Hili in jukwaa LA siasa. Mbona watu hawaongelei ndoa yako humu??
 
Siasa ni unafiki..

Hakuna upande mwema, wote ni wajanja wajanja, wanachumia tumbo si ccm, wala chadema, wala chama chochote..
Hapo hakuna unafiki wowote, acheni ujinga wenu. Kama angekuwa na shida so angekuwa ndani?
 
Hapo hakuna unafiki wowote, acheni ujinga wenu. Kama angekuwa na shida so angekuwa ndani?
Mkuu mbona unakurupuka na kuongea utafikiri unapumbu moja, mtoto wa kiume utulie acheni vichwa vyenu vifanye kazi, sio unaendeshwa kama ling'ombe, bwamdogo acha upambe..

Nani asiyejua kama siasa ni unafiki.. hapo kabla chadema walimuimba kwa kashafa kibao, ccm wakamuona msafi, leo anatoka ccm, ccm wanamuona mchafu chadema ni msafi.. rudi kwa lowassa mambo ni yale yale.

Siasa(hasa hasa za bongo) na unafiki ni watoto wa baba mmoja, mama zao tu ndio walitofautiana.
 
Ni mwendelezo ule ule wa ujinga ujinga tu Mkuu. Hakuna lolote la maana ulilosema hapo.
 
Mnafki sana
 
Huo mstari wa pili umeua aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…