Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

Tulipaswa kuhoji haya kabla hajaondoka lakini kusubiri kuondoka kwa mtu ndo tuanze kuyasema mapungufu yake inatupa shida kidg ss tusio na vyama.
mbona haya yalizungumzwa 2014
 


Wewe ni takataka!
 
Kamanda bado upo?
 
Akiwa kwetu mzuri akiondoka tunaponda..

Siasa ni unafiki..


Aisee mmeanza kufukua makaburi
Taarifa zake Nyalandu, za awali, ndizo zilimnyima nafasi kwenye Serikali ya Magufuli.

Kwa kuzingatia hatua zinazochukuliwa ndani ya CCM na Serikalini, hakika viongozi walioshiriki kuhujumu uchumi wa nchi hii, hawatabaki salama.

Tahadhari kwa viongozi wa vyama vya upinzani kuwapokea viongozi wa CCM mlio watuhuma ufisadi, kwamba mnajitengenezea jeneza kwa maziko ya mwaka 2020. Tutawakumbusha maovu ya kila kiongozi aliyehamia kwenu ili wapiga kura wawachimbie makaburi saizi yao.
 
Hivi ni nani aliyepewa kinyago cha million 200!
au yuko kwenye mahakama ya mafisadi?
 
Aisee
 
Tulipaswa kuhoji haya kabla hajaondoka lakini kusubiri kuondoka kwa mtu ndo tuanze kuyasema mapungufu yake inatupa shida kidg ss tusio na vyama.

Yalishahojiwa, ndio maana hakupewa wizara, anafaham fika asingepitishwa 2020 chini ya uenyekiti wa Magufuli, ndio ame seek sanctuary kwenye lile li kichaka la mafisadi.
 
Subiri dakika 90... Washaurini tu tume ya uchaguzi wawe fair
 
Akihamia Chadema mtasemaje?
usihamishe magoli!! aliyepewa kinyago cha million 200 Ni nani na yuko wap?
au mnasubiri ahame chama mseme ameogopa kushtakiwa?

Uvccm mna vituko sana
 
Yale ni maisha private,mbona ww unaloka barabarani hatusemi...Nyalandu anauweza binafsi kiuchumi so kuwa Aunt Ezekiel sio mpaka atumie pesa za Serikali.Kwani Aunt Ezekiel ni project inayoitaji mabillioni Aisee....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…