VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.Mzee tulia nani kakuambia tuna shida na pesa za MCC
na ofisi za serikali kwa sasa OC ni za kumwaga.Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Ni kweli kabisa Mkuu.Tumechoka kupewa samaki. Sasa tutengeneze nyavu zetu wenyewe.
Mkuu unalala mlango wazi na kutazamia neema itaingia mlangoni!!Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Haha kabisaaaa hakuna anayeidai serikali malimbikizo ya PESA ya likizo wala fyoko fyoko yoyote teh teh!na ofisi za serikali kwa sasa OC ni za kumwaga.
Mkuu mbona unaandika huku unatetemekaKweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Ndo story za kwenye vijiwe vya gongo....Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Nitetemeke kisa nini?Mkuu mbona unaandika huku unatetemeka
Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Magufuli kukusanya pesa nyingiNitetemeke kisa nini?
Sasa nisifurahie kwanini?Magufuli kukusanya pesa nyingi
Inaonekana hufurahii
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Sababu inakukeraSasa nisifurahie kwanini?