Wakuu,
Japo jambo hili limepowa kwa sasa lkn mtakumbuka Ngeleja alidai kurudisha mabilioni hayo TRA ambao nao waliyakana kwani hayawahusu. Je pesa hii imepelekwa wapi?
Watanzania bwana sasa hizi fedha jamaa alishatangaza wazi kwamba amezipata zisivyo halali. Mbona hawahoji zimeenda wapi na aliyeiba alitaka kuzirudisha