Mabilioni Aliyokwapua Ngeleja toka Escrow Yameishia Wapi

BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
945
Wakuu,
Japo jambo hili limepowa kwa sasa lkn mtakumbuka Ngeleja alidai kurudisha mabilioni hayo TRA ambao nao waliyakana kwani hayawahusu. Je pesa hii imepelekwa wapi?
 
Sasa hivi mwache atumie. Asijaribu kutoka ccm....watamnyoosha kwa usaliti wa kula nje ya chama
 
Watanzania bwana sasa hizi fedha jamaa alishatangaza wazi kwamba amezipata zisivyo halali. Mbona hawahoji zimeenda wapi na aliyeiba alitaka kuzirudisha
 
Ngeleja mzee wa ATM.unajua mimi ni nani ? Hujui mimi nina mabilioni ya escrow. Alisikika mh. Wetu akimwambia mlinzi wa atm maneno hayo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom