Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

Ukifikiri kwa kina juu ya hii inaitwa vita ya kupambana na ufisadi unaona ni ulaghai na chuki binafsi tu dhidi ya matajiri


Kwa hiyo kwa maoni yako wameonewa? Na kama ni hivyo kwa nini hawashindi kesi Mahakamani? Isitoshe kama ni chuki dhidi ya matajiri kama ulivyoiita kwa nini wao tu? Mbona Mengi, Bakhresa, Dewji, au hata Fisadi Lowasa hawako Jela?
 
Wahusika wengine wapi? Maana mgao ulitembea


Mimi siyo Mwanasheria hivyo sijui, labda hawakushikwa, lkn hilo siyo muhimu, muhimu ni kwamba je wameonewa kwamba hawana hatia au la, hilo la kusema kwamba kwa kuwa tu unayemuhisi hajashikwa basi na wao waachiwe siyo sawa.
 
Walikula $umu.. Hela ya serikali ni sumu
 
hahahahahah nyie ndio mashujaa wa awamu ya 4 sio, Enzi za kulipia viti Bar watu wakiwa bado ofisini, eti hiki asikalie mtu tafadhali...nakuja!
 
unamaanisha nini?
Kuna kipindi cha nyuma wakati Escrow ndio imebumburuka huyo Rugemarila alipohojiwa akasema kwamba pesa waliyoiba ni 'vijisenti vya ugoro tu', sasa mabilioni yote yale yeye anasema vijisenti vya ugoro ndio watu wakashangaa sana huyu mtu anapesa kiasi gani?
 
Kwa Pesa Anayo Ya Maana Tu,mpaka Watoto Wake Wakina J Majeuri Fujo Mjini Sababu Ya Pesa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…