Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

naona baba wa Heineken Kavaa kanzu,Kuna watu wamekula maisha hii nchi,
 


Singa singa amepunguza uzito balaa!


Na hapo bado Kudadadeki! Ahsante Serikali ya awamu ya Tano ya ' Mwanamume ' Rais Dkt. Magufuli. Ninyooshe hivyo hivyo Watu ambao katika awamu zilizopita hasa ya Nne waliwatesa, waliwanyonya na waliwadharau sana Watanzania ambao ndiyo wenye ' Rasilimali ' zote.
 
Utadhani wapiganaji wa Taliban.
Ila mzee wa henken kantuma sana bia na nyama kipindi kile mi waiter ye na hao mawaziri kibao wanakula bata.
Kipindi hicho Ruge anamtuma kuanzia waziri mkuu mpk naibu waziri wa upambe.
Wakimaliza Kazi wanapewa Nyama na Heineken na bahasha kimya kimya.
Huyu singa alipewa bomu la nyuki tu mwishoni akaambiwa utapata asali.
na mie nilimpiga sana tu humo kwenye nyama na bia asifungue kesi tu.
Maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…