mabibo secondary wanted

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,690
13,578
Nimemsikia simbachawene akiwataka walimu wa mabibo secondary kueleza kwanini anakusanya michango hiyo. Dash mtangazaji wa ITV alimlisha pale akatoa order pale pale. Kaeni mkao wa kula mabibo secondary
 
Amesema ataongelea vizur katika kipindi cha kipima joto cha ITV leo
 
hiyo michango wazazi wasipo elimishwa itazua migogoro mikubwa sana kwa walimu na wazazi
 
Huyu mwandishi wa habari ni mnonko sana! Possibly maelezo ya serikali hayajitoshelezi hivyo maheadmaster wanapata mkanganyo..!
 
hiyo michango wazazi wasipo elimishwa itazua migogoro mikubwa sana kwa walimu na wazazi
Washasema michango yote imekua covered na hizo pesa,hakuna mchango wowote ila wazazi wataendelea kuwahudumia watoto wao mahitaji kama nauli ya kwenda na kurudi shule,uniforms n.k
 
Mambo mengine wanajitakia wenyewe. Wameambiwa no michango wao wanajifanya waajanja
 
Naona enzi za kufanya mtihani kwa mtihani kuandikwa ubaoni kwa chaki zinarudi..., kwa wale wasio na speed ya kuandika ukichelewa swali likafutwa imekula kwako
 
Huyo mtangazaji siyo mstaarabu. Alikuwa na maana gani kutaja jina la shule? Kwani isingetosha kusema baadhi ya wakuu wa shule wanauliza? Shame. Hii ndiyo hasara ya kuwapa watu kazi ambazo hawazimudu. Huyu dada hata wanapompa kusoma taarifa ya biashara huwa anashindwa kabisa. Leo eti wanampa kumwuliza waziri maswali. Shame.
 
Acha washughulikiwe mm mwenyewe mlalahoi na roho inaniuma vimichango vya ajabu wakati Goverment imejitahidi kutupunguzia limzigo wadakwe tu hao Mabibo sec ili iwe fundisho hata huku kwetu
 
Back
Top Bottom