ha ha ha! kumbe Bishanga kuwa na vimwana lukuki siyo misukosuko?
dont forget a good timber does not grow with easy
kwa wenzio vilaini eeeh!! ataliwa tu hata yeye
ataliwa tu!!!
ha ha ha! karibu sana mkuu! naamini unaifahamu hii kitu kwa kiasi chake.
Wakuu!
Msimu wa korosho ndiyo huu hapa tena unaingia...
Kipindi cha heri, kipindi cha mavuno!!
Sasa mabibo ni full available...
Binafsi nayapenda sana mabibo, juice kwa sana!
Karibuni Kusini tule mabibo..
CC; THE BIG SHOW! EMT, MMAHE, Sizinga!
hny! i told them...
couples zote humu ndani! wanajifunza kutoka kwetu...
Kuna nini huko?au fumanizi safarii sikubali kukosa bora nigeuziwe kibao kuwa nimefumaniwa kuliko.kumis tukio
...even some more.yes ofcoz!!
narudia tena...
you like some?
Mmmmmmmmmh!