dogo mabibo hosteli ni hosteli ambazo zinapatikana nje ya chuo, mwendo wa km 2 hivi, kama utapangangiwa mabibo itakubidi uwe unapanda basi kila siku nauli ni mia tatu kwenda na kurudi 300. hosteli ni nzuri sana,. mtakaa wanne katika rum lakini udsm tunabebana kwa hiyo makuwa mara 2 yaani 8. majengo ni gorofa 3. paking kubwa, wanawake mana majengo makubwa mawili , wanaume matatu, mastars 1. kila moja uwezo ni watu 500. kubebana inakuwa 1000. kama ukipangiwa main campus, uhitaji usafiri ,lakini gharama za malazi main campus ni kubwa kukompase katika usafiri gharama za malazi mabibo ni ndogo .main campus kuna faida ya librali, madarasa mengi ya kusomea. mabibo kuna uhaba wa madarasa , hakuna generata, ila chakula ni mingi mingi maana ni mtaani. mi nimekaa mabibo miaka miwili, campus mwaka mmoja , na nakwenda campus mwaka wa pili tena. kwa hiyo dogo kama umewahi soma bweni ni kama campus 100%. na kama umesoma day ni kama mabibo 100%. vyoo vya mabibo ni vizuri na visafi. ila campus vyoo ni vichafu vichafu vichafu. namalizia. SASA DOGO ITABIDI UNIBEBE, SISI NDO WAKONGWE WA UDSM. :israel: udsm ni chuo cha taifa na ndo mana tunapiga msuli wa kufariki mtu