Mabetri

Kilewa Son

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Eti nyuma ya betri kuna betri na mbele ya betri kuna betri, jumla kuna mabetri mangapi..
 
"mabetri" kiswahili cha walioelewa... ww kitu gani hujaelewa hapo
 
Hizo betri ni zile kubwa za gari au betri ndogo za tochi?
 
Betri ni uwingi.... Ikiwa moja inaitwa seli.... Kiswahili sanifu... Hakuna kitu kinachoitwa mabetru
 
na betri zikiwa zaid ya moja zinaitwaje,!? Kam kwli ww ni....
 
Ameenda na ngeli..k.m

ngeli ya cha~vya
chakula ~ vyakula
chai ~~~~~

na ni betri za gari ama za binadamu? hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…