- Thread starter
- #81
BETRI ZA YUASA NA AMARON KWA WANAOHITAJI WEKENI ODA MAPEMA KABLA HAZIJAISHA. MAWASILIANO 0689-866100. 0717-518359.
BETRI ZA YUASA NA AMARON KWA WANAOHITAJI WEKENI ODA MAPEMA KABLA HAZIJAISHA. MAWASILIANO 0689-866100. 0717-518359.
Hizo Z code number za betri tu. hazina issue kivile.Hizo Z zinamaanisha nini?
sawa, karibu.Hapa ilipofikia cm yangu bora nitumie yuasa maana mda wote chaji
KWA BETRI ZA AMARON ZIMEBAKI SIZE YA N90 TU. BETRI ZA YUASA NAZO ZIMEBAKI N70, N50 NA N45. HAYA WADAU NJOO TUZIMALIZE KWA MWEZI HUU WA 6. STOCK MPYA ZINAKUJA MWEZI WA 7.
aisee betri zimekuja za amaron tunazo za n45, n50, n70, na n80. wahi sasa unipigie simu uweke oda mapema maana zimekuja chache na wadau wengi wananunua. yaani kabla mwezi huu haujaisha betri zitakuwa tayari zimeisha. nipigi simu mapema 0689-866100, 0717-518359Hebu nitumie aina zote za battery mnazozalisha: kuna office yangu natarajia kufungua maeneno ya mbezi mwisho nakamilisha mambo kidogo sasa nataka kujua size zote za battery mnazozalisha...naomba nijibu kwa kuniquote jina langu ili nianza mchakato mapema.
aisee betri zimekuja za amaron tunazo za n45, n50, n70, na n80. wahi sasa unipigie simu uweke oda mapema maana zimekuja chache na wadau wengi wananunua. yaani kabla mwezi huu haujaisha betri zitakuwa tayari zimeisha. nipigi simu mapema 0689-866100, 0717-518359
betri za pikipiki hatuna bosi zimetuishia. cheki kariakoo kwa saidiBetri za pikipiki je?
Private geologist
Za Kariakoo ni fekibetri za pikipiki hatuna bosi zimetuishia. cheki kariakoo kwa saidi