Mabetri ya Amaron yanauzwa

Mabetri ya Amaron yanauzwa

Malipo yanakuwaje kwa mtu anayeagiza akiwa mkoani mfano Kahama/Mwanza?

Nalipataje? Nalipata kwa njia gani? Tunalipanaje? Kwa utaratibu upi Mkuu?
 
Kama upo Shinyanga, tuna tawi letu hapo na kama upo mwanza, tuna tawi letu hapo. unaweza kwenda pale shinyanga au mwanza ukalipia kwenye tawi letu kisha tunakutumia mzigo kutoka dar. mzigo ukifika utapigiwa simu uende kuchukua kwenye matawi yetu.
 
amaron 1.jpg
 
Bei za Amaron na size zake.
NS40- 110,000tshs
N50Z- 162,000tshs
N60- 124,000tshs
N70Z- 186,000tshs
NT180- 500,000tshs
NT165 - 470,000tshs
 
Amaron mabetri ni imara sana na zinaaminika na wadau wengi. kama kuna wateja wanaohitaji msisite kunipigia simu, stock inakaribia kuisha na SABA SABA ikianza mabetri yote yanauzwa. kama kuna mteja yoyote anahitaji betri ya gari basi anitafute kwenye simu kabla hazijaisha.
 
Hayo mabetri ni kweli mazuri natumia moja hapa mjini bangalore..... Safi sana km yameingia bongo...
 
Amaron ni kampuni namba moja ya betri India. mkuu hata mimi nilikuwepo hyderabad miaka ya nyuma, nilitumia sana magari ya maruti. nilinunua betri ya amaron nilitumia ilikaa muda mrefu sana mpaka naiuza gari kwa mteja betri bado inafanya kazi asilimia 100%.
 
Kama upo Shinyanga, tuna tawi letu hapo na kama upo mwanza, tuna tawi letu hapo. unaweza kwenda pale shinyanga au mwanza ukalipia kwenye tawi letu kisha tunakutumia mzigo kutoka dar. mzigo ukifika utapigiwa simu uende kuchukua kwenye matawi yetu.
Hayo matawi yanashuhulika na nini kama mzigo wenyewe hupo Dar?
 
hayo matawi ni ofisi zetu ambazo zimesajiliwa kisheria. haya matawi yanauza bidhaa mbali mbali kutoka kampuni yetu ya Quality Motors ltd. Tunauza bidhaa za mabetri, matairi, pikipiki, magenereta na water pump. Sasa kuna matawi yetu mengine za huko mikoani hawana mabetri, wamepewa bidhaa zingine za kuuza kama pikipiki na genereta na kuna matawi mengine wanauza mabetri na vitu vingine. Sasa kwa mfano, ikitokea kuna mteja ambaye anahitaji betri ya Amaron lakini kwa bahati mbaya tawi letu ambayo ipo karibu na huyo mteja hawana mabetri, basi sisi tunachokifanya ni kwamba mteja atalipia hapo kwenye tawi letu pamoja na usafiri halafu sisi tutamsafirishia mzigo wake na ataenda kuchukua kwenye hio tawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom