hivi hiki kiswahili ndio kinanipa shida, ni betri au mabetri??Amaron mabetri ni imara sana na zinaaminika na wadau wengi. kama kuna wateja wanaohitaji msisite kunipigia simu, stock inakaribia kuisha na SABA SABA ikianza mabetri yote yanauzwa. kama kuna mteja yoyote anahitaji betri ya gari basi anitafute kwenye simu kabla hazijaisha.
hivi hiki kiswahili ndio kinanipa shida, ni betri au mabetri??
na wewe hujui mkuu??Hata mimi naona wataalamu wa kiswahili waje kusahihhisha.
asante mkuu tupo pamoja.Hizo battery ni nzuri sana. Nimefunga kwenye gari yapata mwaka na miez 6 sasa na bdo nzimaa![]()
Utofauti kati ya N50Z na NS60 uko hivi, N50 ina nguvu ya amps 50. N60 ina nguvu ya amps 45. mara nyingi n60 inaitwa ns45 kwasababu ni betri ndogo, utofauti mwingine ni kwamba N50 inacharge kwa muda mrefu zaidi kuliko N60.Msaada nini tofauti kati ya N50Z na N60 naona hata bei zipo taofauti na N50Z ni ghali kuliko N60
STOCK ILIYOBAKI ZA MWEZI HUU WA FEBRUARI 2017, WALE MAWAKALA WANGU WA MABETRI NTAWAPA BEI NZURI
NS40, N50, NA NS60.
zimeisha mkuu. stock ya N70 inakuja mwezi ujao. kama unaweza kusubiri basi nipe namba zako za simu ili mzigo mpya unapokuja tuwasiliane unitumie pesa nikutumie kwenye basi za mwanza.nahitaji N70 niko mwanza
135,000 bosiNs 60 bei gan?