Mh. Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando ni Mgonjwa wa Muda mrefu na alipelekwa India na kurudi bila ya Mafanikio na kwa sasa anaendelea kujiuguza hapa jijini Dar Es salaam na cha Msingi kwetu ni kumuombea Tahfeef kwa Mwenyezimungu Mtukufu
nimewahi kusoma mahala....kitu kama hicho...Kuna jamaa ubalozin nilisikia akisimulia huyu marando na kolimba walikuwa panya wa ikulu enz za nyerere walikuwa na shabaha ya hatari kwenye bastola. Waliweza kushut kwa nyuma huku wakikimbia.
Ila siyo wakuaminika ki'nyama walimtumia sana kuvuruga upinzan
Id mbili za nini mkuu? Unapoanzisha uzi hutakiwi kuja na Id nyingine kujifanya unachangia na kuukubali uzi wakati wewe ni yule yule. Pumbaf.Ni muda umepita toka huyu kamanda atoweke katika vyombo vya habari na siasa za Tanzania.
Hata ushiriki wake katika siasa za 2015 kuelekea uchaguzi ulikuwa hafifu.
Je amekumbwa na maswahibu gani.? Je ameachana na siasa.? Je siyo tena mmojawapo wa mwanasheria wa chadema.? Maana hata ushiriki wake katika kesi za chama hauonekani.
Where is my home boy? Uliko mabere jitokeze, je unaumwa au? Ni yapi yaliku sibu? Si huku kijijini rorya tunakukumbuka sana!!!
Swali la msingi sana hili. Yupo wapi na Anafanya nini? Maana kwenye intelligencia alikuwa vizuri sana. Alikuwa anawasaidia chadema. Lkni ghafla alitoweka kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Kolimba yule aliyesema ccm imepoteza dira?Kuna jamaa ubalozin nilisikia akisimulia huyu marando na kolimba walikuwa panya wa ikulu enz za nyerere walikuwa na shabaha ya hatari kwenye bastola. Waliweza kushut kwa nyuma huku wakikimbia.
Ila siyo wakuaminika ki'nyama walimtumia sana kuvuruga upinzan
Id mbili za nini mkuu? Unapoanzisha uzi hutakiwi kuja na Id nyingine kujifanya unachangia na kuukubali uzi wakati wewe ni yule yule. Pumbaf.
hata John Mnyika naye anapotea potea hivi
Thibitisha kwamba si wewe.Pum.bavu mwenyewe, Una ushahidi gani kuwa mimi complex ndiye musoma yetu.? Uache mambo ya kise*ge, kama huna cha kuchangia na uhakika wa jambo kaa kimya.
mabele ni mgonjwa tokea mwaka.Jana kisukari kinamsumbuaSwali la msingi sana hili. Yupo wapi na Anafanya nini? Maana kwenye intelligencia alikuwa vizuri sana. Alikuwa anawasaidia chadema. Lkni ghafla alitoweka kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Thibitisha kwamba si wewe.
mabele ni mgonjwa tokea mwaka.Jana kisukari kinamsumbua
Laptop yangu inaonesha wewe ndo Musoma Yetu.Nani aliyetoa tuhuma.? Aliyetoa tuhuma anahitajika kuthibitisha tuhuma zake. That is the natural and appropiate way of finding justice. Mpaka umeibua tuhuma means una concrete evidence za tuhuma.
Laptop yangu inaonesha wewe ndo Musoma Yetu.