Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
sisiem hawawezim kurusu huyu ashinde hata kidogo, si bora wangemwacha sita kuliko huyu wa upinzani 100%sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya uspika,
msijedhani ameshinda kwa nguvu ya upinzani kumuunga mkono...
Asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...)😎 Hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura 😛eep:
Vema tusubiri majibu...
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika,
Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono...
asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...)😎 hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura 😛eep:
Vema tusubiri majibu...
:smile-big: Maji ya mto hayapimiwi ugoko...Wewe umekuja kupima upepo tu, tunakujua ni CCM damu ,tena mwanamtandao.....
Acha kutuzingua weka wazi tujue naniliu ndiyo mdudu gani(inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...)...
:clap2::cool2: HERI YAO WENYE KUMBUKUMBU KWA MAANA HAWATOPOTEA NJIA KAMWE!:yo:Kuna mazingaombwe yalitokea wakati fulani kwenye mchakato wa wabunge wa Afrika Mashariki ambapo alionekana kuingia kiaina ambapo wengi iliwaacha midomo wazi!!!
hapo ndipo mashaka yangu yalipo...:doh:Ngoja tuone hii ngoma inogile!! maana huyu jamaa anaweza kutuparua kweli kweli tukabaki midomo wazi, au tukaendelea kuwa naye huku tukiwa makini kweli kweli maana tayari saizi yuko jikoni kwetu hivyo akiamua kutuua naye ajiandae kufa kifo cha mende. Ni angalizo tu.
Kama watapiga kura za siri lazima atashinda