Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Hii ni thinking cheap kuliko kitu chochote
 
Yuko na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ina hazina ya wapumbavu huyu mtoa mada ni ingizo jipya au lilikuwepo msaada tafadhali
 
Suluhisho ni nini? Au suluhisho ni kubali Mabeberu yaendelee kudhulumu haki zetu na mali zetu
Kuna siku utaelewa ninasema nini. Ilakaa ukijua kuwa ulichoandika sio suluhishola matatizo yetu.
 
Suluhisho ni nini? Au suluhisho ni kubali Mabeberu yaendelee kudhulumu haki zetu na mali zetu

Hakuna anayepinga utetezi wa rasilimali na mali zetu. Shida hiyo kitu inataka kupiganwa kwa maarifa na ujanja sana.Makosa mengi sana yalifanywa huko nyuma kiaasi kwamba kutatua hayo makosa inahitaji busara ya hali ya juu na sio ushabiki. Tujifunze sana kwa makossa ya wenzetu kote duniani ili tuchukua hatua sahihi ambazo hazita tuumiza in the long run. Yapo maeneo serikali imefanya vizuri sana so far lakini pia yapo mapungufu ambayo tusaidiane kuyatatua..
 
Mawazo mazuri sana wewe ni vijana wachache wa Upinzani ulio na werevu usiwe km waropokaji wengine
 
Mleta Mada Ulipiga Porojo Kuelekea Uchaguzi Mkuu Wa Chadema Kibaraka Wenu Akapigwa Chini Ukapotea,sasa Umeibuka Et Pompeo Undahani Kila Anayekufatilia Kwa Makini Ni Anakupenda?Na Hizo Bilion Wanazoingza Marekani Kwa Kutembelewa Na Marais Toka Afrika Inakuwaje Au Wao Ni Kivutio Kwa Wamarekani?
 
Behind The Scene tutakuwa tunajuta kuwadharau hao tuliowabatiza mabeberu...
 
EPompeo Undahani Kila Anayekufatilia Kwa Makini Ni Anakupenda?

Na Hizo Bilion Wanazoingza Marekani Kwa Kutembelewa Na Marais Toka Afrika Inakuwaje Au Wao Ni Kivutio Kwa Wamarekani?


Beberu halijawahi kupenda mtu mweusi hata siku moja Ndio maana twamuonywa pompeo ajiangalie Tanzania ya leo sio ya jana

Haiwezekani Rais wetu aende huko Marikani kuwanufaisha watu wanaotunyonya

Nendeni nyie wapinga maendeleo mnaosapoti ufirauni
 
We Pimbi kweli yaani mabeberu yawaheshimu watembeza bakuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…