and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,474
- 40,273
- Thread starter
- #41
Masela poleni
Huyo maji yaliyashamwagika kitamboNilishangaa kusikia kuwa mwarabu fighter nae ni mke wa mtu.
AiseeeeWanataka wenyewe. Baadhi mpaka wanalilia zaidi ya demu
Acha maneno mengi wewe,tayari weweNilikua napiga gym unagusa kimtindo sio kua baunsa kiufi mimi huwa baruka kamba nakimbi kilometa moja na gym kidogo sana kila weekend tu nikitoka kanisa jioni gym basi kwa mwezi mara tatu safi Ubaunsa ni ujinga
Teh teh teh
Na Mondi nae ilikuwajeAcha ujinga wewe Snoopy anavuta bangi zake tu downlow ana mke na watoto na wajukuu.
Ili mambo yasiende mlama. alijikalia zake hotelini kimya yuko mpaka leo.
Didy kamkuta Snoopy kwenye rap game kitambo tu.
Death row ya Suge knight
ambayo anamiliki Snoopy dogg leo ndo walikutana na Pdidy
Pdidy alikua mpambe tu enzi hizo. hamjui,hawajuani wala si marafiki.
Acha kutetea ujinga,kwani kuoa na kuwa na watoto ndio hupakuliwi?Ana mkewe ,watoto na wajukuu na anaweza kukulisha wewe,wanao na family yako mwaka mzima bila kuhusisha
Kaoa ana watoto kibao mmoja star NFL ,
mwingine mulata alizaa na mzungu ,
kingine kibushuti cha kike hiki ndo kinakula mali za Baba kimeolewa juzi hapo.
Baba ndo kasimamia show yote.
Humjui Snoopy bwege wewe,
Mansion zake zote mkewe wameanzana toka wana miaka 17 kamuachia bila kesi wala nini.
Mkewe ndo meneja wake.
Ye yuko hotelini na mibangi yake,
Snoopy karuhusiwa kuvuta bangi
Kama dawa popote duniani na madaktari.
Utasemaje hana rinda punga wewe,
Snoopy hata mademu hafagilii kabisa.
Angeweza kuwa nao dunia nzima.
Mpenzi wake Bangi,
Mkewe,baasi.
Kalvin Broadus unamjua wewe?
Umekula mbaazi unajamba tu hapa.
Snoopy hana kashfa ya madem kuzulumiwa wala nini,
ye anaswaga kazi tu.
Skeecher brand yake,snoopadelic yake,doggy pound yake,doggy kids yake
Dj Snoopy leo na kesho wana tour LEGENDS Europe nzima (Eminem,Snoopy,Dre,50 cent fify)chini ya Death row records yake.
We kima unakuna matako tu hapo kipawa hujui hata watu,
ni nani amekupa simu na internet?
Kuna watu mlitakiwa muwepo na wahadzabe huko.
ChochoteMabaunsa wamepewa onyo kali kutojihusisha na mapenzi yasiyofaa kwa kuendekeza njaa. Wameaswa kulinda kazi yao ya Ulinzi badala ya mapenzi ya kudhalilisha Utu na kazi yao.
Bawaba zimelegea nasikiaHuyo maji yaliyashamwagika kitambo
Kitambo ndo Chibu akamtimua sasa hv nasikia anauza congoBawaba zimelegea nasikia