Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

Fmewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
292
Reaction score
81
Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu (futi 10 na upana sentimita 100) rangi yake ni blue na bei yake ni sh 40,000 kwa bati moja. Ni mabati yanayofahamika kama mabati ya south Africa.
Kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba ya simu 0654-197369

Karibuni
 
ulifanya research kabla haujaandika bei yako??
nona upo nje sana mkuu.
 
Kwa wale wanaohitaji nimeweka namba ya simu hapo
 
ulifanya research kabla haujaandika bei yako??
nona upo nje sana mkuu.

Ok nakushukuru kwa concern yako. Lakini mimi nimeweka post hii ikiwa ina details zote.
Habari ya research nisingependa kuiongelea lakini kama unaona bei ni kubwa na unahitaji ni bora ungepiga simu au ungesema kile ambacho wewe unakifahamu.
Kwa taarifa yako mabati hayo bei yake ni sh 42,000 hadi 45,000.
Thanks
 
Post yako haina detailz zinazotakiwa mkuu,

hayo mabati ni "geji" ngapi?, ni migongo minne ama mitano, ni ya kutoka kiwanda gani?,

ukifanya hesabu ya haraka haraka inaonekana mita moja inauzwa 13333.33, wakati kiboko, Alaf na wachina hawafiki huko
 
Mkuu hapo upo sawa kabisa.
Hii bei ipo juu ukilinganisha na bei za kawaida kwenye maduka.

Ukianzia 10,500 per meter hapo tunaweza kuuliza gage na yametengenezwa wapi.

Weka wazi kila kitu....ukisema piga tutaongea unakuwa kama hutaki watu wavutiwe na tangazo bali wavutiwe na kuongea na wewe.
 
Back
Top Bottom