Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Si kweli ndugu angalia mabati ya kampuni zingine yanavyo pauka paa linakuwa na mabakamabaka ndani ya mwaka mmoja tu.
Mkuu Alaf ni level zingine zile bati zina Aluminium kwa juu inachukua miaka mingi sana kupata kutu tofauti na hizi zingine mwaka mmoja tu zishaanza kufubaa na mwaka unaofuata ni kutuNi matangazo tu ya biashara.na ndo yanaongoza kwa bei.bando moja la ft 10.=280, 000
Yeah nilichogundua ni hiko kwa mleta mada hajawahi kujenga ina maana hayajui vizuri hayo mabati,pamoja na kwamba wana promotion kubwa hata mabati yao ni mazuri mno huwezi linganisha na mengine hapa Tzwe!!we!!! labda hujawahi kujenga, na kama hujawahi kujenga hujatembelea kwenye majengo ya watu ukaona jinsi mabati ya kampuni nyingine yalivyopauka kama ngozi ya kenge? asikudanganye mtu kwa bongo bati ni ALAF tu
Bando moja bati ngapiNi matangazo tu ya biashara.na ndo yanaongoza kwa bei.bando moja la ft 10.=280, 000
Ni sahihi kabisa, unaweza kutumia garama kubwa kununua mabati ya rangi tena yale yaliyokunjwa kama vigae (versetile) ambayo kibongobongo tunaita msauz hata kama ni wachina wametengenezea hapo kariakoo na kupaka marangi ya hovyo ,mwisho wa siku yakianza kukauka nyumba inakuwa mbaya kuliko yule aliyeezekea mabati ya bei nafuu yanayoitwa ya nyumba za waalimuYeah nilichogundua ni hiko kwa mleta mada hajawahi kujenga ina maana hayajui vizuri hayo mabati,pamoja na kwamba wana promotion kubwa hata mabati yao ni mazuri mno huwezi linganisha na mengine hapa Tz
Simu yake camera mbovukapicha please!!
Pcs 16.ni sawa na 17, 500 kwa bati moja.alafu wauzaji wanauza 19, 500hadi 20, 000Bando moja bati ngapi
Hawa vijana hawajajenga ndio maana wakianza ujenzi wataelewa tuNi sahihi kabisa, unaweza kutumia garama kubwa kununua mabati ya rangi tena yale yaliyokunjwa kama vigae (versetile) ambayo kibongobongo tunaita msauz hata kama ni wachina wametengenezea hapo kariakoo na kupaka marangi ya hovyo ,mwisho wa siku yakianza kukauka nyumba inakuwa mbaya kuliko yule aliyeezekea mabati ya bei nafuu yanayoitwa ya nyumba za waalimu
Stori bila picha ni sawa na shule bila chakiSimu yake camera mbovu