Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo:
1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi!

2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma?

3. Itachukua muda gani kutoka Tunduma hadi Harare?

4. Ipi namna bora, kupanda basi la moja kwa moja kutoka Tanzania hadi Harare (naamini yapo) au kwenda kupandia upande wa Zambia?

N.B: Hiyo ni safari yangu ya kwanza Zimbabwe. Kama kuna taarifa zaidi za kunisaidia naomba nisaidiwe.

Asante.
 
Back
Top Bottom