I wonder, haya mabasi ya Sumry yametumwa kuwamaliza wafanyakazi wa hospitali ya rufaa? au kamati ya ufundi ya wenye basi imea,biwa mpaka wafanyakazi wa afya nao wawemo? this year; ajali ya kwanza ya Sumry ilimhusisha mfanyakazi mmoja wa records mbeya rufaa, akafa, Next ajali alikufa nesi mmoja wa rufaa, and this time the only single eye specialist wetu amekufa- what is this with Sumry????????