New Nytemare JF-Expert Member Dec 15, 2011 3,327 2,473 Jun 3, 2016 #4 limeingiaje huko sasa au limechomoa ruti
Kaputula La Marx JF-Expert Member Mar 28, 2015 562 494 Jun 3, 2016 #6 Hii ndio Tanzania nchi yenye udongo wa dhambi
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,778 19,315 Jun 3, 2016 Thread starter #7 Alikuwa anawatafuta wauza maji ndogo.
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,778 19,315 Jun 3, 2016 Thread starter #9 Nchi comedy tupu hii. President kasema wachomoe matairi wauze
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Jun 3, 2016 #13 mambo kama haya ndio yanamchanganya mkuu wa kaya..
Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,172 15,725 Jun 3, 2016 #14 Huyu itakuwa kwenye field kuna kigogo wa DART alimchomeka ndugu yake aliyekuwa anaendesha daladala sasa hapo ameimiss foleni kaona aifuate.
Huyu itakuwa kwenye field kuna kigogo wa DART alimchomeka ndugu yake aliyekuwa anaendesha daladala sasa hapo ameimiss foleni kaona aifuate.
INGENJA JF-Expert Member Sep 11, 2012 4,990 4,259 Jun 3, 2016 #15 john agrey said: View attachment 353286 Click to expand... chomei matairiya hiyo cruiser muuze
nsanzu JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,636 5,335 Jun 3, 2016 #16 Tupo kwenye upembuzi yakinifu juu ya hili swala. Ukikamilika tutawajuza wananzengo wetu, endeleeni kufurahia huduma zetu
Tupo kwenye upembuzi yakinifu juu ya hili swala. Ukikamilika tutawajuza wananzengo wetu, endeleeni kufurahia huduma zetu
D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Jun 3, 2016 #17 INGENJA said: chomei matairiya hiyo cruiser muuze Click to expand... Kwa hiyo itafikia muda watu watakwenda polisi kununua matairi ya gari?
INGENJA said: chomei matairiya hiyo cruiser muuze Click to expand... Kwa hiyo itafikia muda watu watakwenda polisi kununua matairi ya gari?