Mabasi ya mwendo kasi ni shida!

Mabasi ya mwendo kasi ni shida!

basi huenda nazo ni chache na ni za kugombania! in general usafir wa asubuh na jion kwa Dar ni shida sana ! hasa kwa asubuh usipodamka kuchelewa ni pai(constant)
Yap! Huo ndo ukweli,sema jamaa apunguze kukumbatiwa anaanza kulalamikia daladala saa mbili na nusu anasema yupo kituoni one hour before hayuko serious anaondoka saa1 kwenda kazini? Alitakiwa awahi zaidi tena magari ya mhimbili asb sana ndo mida yake kwakua muda wa kuona wagonjwa unaanza saa12asb
 
ni daladala gani inatoka kimara kwenda fire zaid ya mwendo kasi ! kama kamaanisha hvo
Ndio kaamanisha hivyo ila msamehe bure maana hajui kuwa hamna daladala za kutoka kimara kuja mjini
 
Zipo,gari zinazotoka mbezi mpk mhimbili so kwakua yeye anaingia mjn anaweza kudrop fire,sasa anataka kusema hapo kimara yeye hazioni zikipita?
Walishafuta tena hiyo route mkuu labda kama imerudishwa leo
 
Yap! Huo ndo ukweli,sema jamaa apunguze kukumbatiwa anaanza kulalamikia daladala saa mbili na nusu anasema yupo kituoni one hour before hayuko serious anaondoka saa1 kwenda kazini? Alitakiwa awahi zaidi tena magari ya mhimbili asb sana ndo mida yake kwakua muda wa kuona wagonjwa unaanza saa12asb

Itakuwa hujatumia huo usafiri siku nyingi mkuu, ni zaidi ya miezi miwili sasa toka safari za moja kwa moja kutoka Mbezi mpaka Muhimbili zimesitishwa, ni mwendo kasi tu inayoweza ku-cross Kimara kwenda Manzese.

Kwa hiyo kama unataka kwenda huko ni lazima mwendo kasi, otherwise uchukue Bajaj mpaka Sheki upande gari za Makumbusho kwenda town.
 
Tulikuwa tunuangalia rais liv anazindua kituo cha mabasi na atapeleka matreka sua
 
Huu usafiri unaprove, tutachukua muda mrefu saana kuendelea.


Yaani nakubaliana na wewe mia kwa mia. imaging ikifika saa 9 hakuna gari ya moja kwa moja Morocco to Kimara wanakuja kushusha hapo terminal usubiri gari ingine it take another 1hr imaging wewe daaah.
 
Back
Top Bottom