Mabasi ya mwendo kasi ni shida!

Mabasi ya mwendo kasi ni shida!

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,842
Reaction score
31,076
Nipo hapa kituoni Kimara kwa zaidi ya saa 1 sasa na sijui nitaondoka saa ngapi

Umati uliopo hapa kituoni ni kwa maelfu ya watu na mabasi hakuna ya kuwabeba abiria hawa.

Kinachonishangaza kwa serikali hii ni kwanini walizuia mabasi ya daladala ya kwenda mjini wakati wao hawana uwezo wa kubeba abiria hawa??

Ni kama kawaida ya maamuzi ya serikali hii ya kukurupuka!

Hivi sasa abiria wanafanya fujo hapa kituoni kutokana na kukosa usafiri kwa muda mrefu sasa
 
Pole sana mkuu nimekumbana na adha hiyo pale Ubungo na nikapata wazo kama lako. Nadhani umefika wakati sasa daladala zirudishwe ili kuondoa kero hii. Kwa hali inavyoendelea ipo siku abilia watasimama kwenye zile njia za mwendokasi kushinikiza magari yaongezwe au daladala ziruhusiwe.
 
Ndicho kilichofanyika hivi Leo kwa abiria kushuka had I kwenye njia inayopita mabasi hayo kama ishara ya kuprotest
 
Nipo hapa kituoni Kimara kwa zaidi ya saa 1 sasa na sijui nitaondoka saa ngapi

Umati uliopo hapa kituoni ni kwa maelfu ya watu na mabasi hakuna ya kuwabeba abiria hawa.

Kinachonishangaza kwa serikali hii ni kwanini walizuia mabasi ya daladala ya kwenda mjini wakati wao hawana uwezo wa kubeba abiria hawa??

Ni kama kawaida ya maamuzi ya serikali hii ya kukurupuka!

Hivi sasa abiria wanafanya fujo hapa kituoni kutokana na kukosa usafiri kwa muda mrefu sasa

tupia video au picha
 
Daaah! Chukua maamuzi mkuu,chukua magari ya mhimbili mpk fire
Hahaaaa😀😀

Umenichekesha sana, kwa kuwa Mimi nipo Kimara, unanishauri nichukue basi la mwendo kasi la kutoka Muhimbili hadi Fire!
 
Hahaaaa😀😀

Umenichekesha sana, kwa kuwa Mimi nipo Kimara, unanishauri nichukue basis la mwendo kasi la kutoka Muhimbili hadi Fire!
Hujaelewa mkuu! Soma vzr,concept iko hv chukua gari zinazoelekea mhimbili ili ushuke fire! Pole lakn najua stress za kuchelewa kazini
 
Kiswahili kigumu eeeh? Mnapenda sana kutafuniwa,hapo kimara ulitaka aambiwe achukue magari ya wapi? Then akashuke wapi? Mbn sentensi iko clear

ni daladala gani inatoka kimara kwenda fire zaid ya mwendo kasi ! kama kamaanisha hvo
 
Zipo,gari zinazotoka mbezi mpk mhimbili so kwakua yeye anaingia mjn anaweza kudrop fire,sasa anataka kusema hapo kimara yeye hazioni zikipita?
 
Hujaelewa mkuu! Soma vzr,concept iko hv chukua gari zinazoelekea mhimbili ili ushuke fire! Pole lakn najua stress za kuchelewa kazini

sio rahisi kwa umati huo ! kama kuna daladala inayotoka kimara kwenda mhimbili , basi ikitokea itagombaniwa vbaya mno
 
Zipo,gari zinazotoka mbezi mpk mhimbili so kwakua yeye anaingia mjn anaweza kudrop fire,sasa anataka kusema hapo kimara yeye hazioni zikipita?

basi huenda nazo ni chache na ni za kugombania! in general usafir wa asubuh na jion kwa Dar ni shida sana ! hasa kwa asubuh usipodamka kuchelewa ni pai(constant)
 
Back
Top Bottom