fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,626
Tanzania hakuna mabasi yanayokimbia speed ni 80 to 85 km/hr ikizidi hapo dereva anakula fineHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Zambia ndo mabasi yao yanakimbia kweli mpaka 120kph na zaid na ndo maana kule kwao ajaliza mabasi zinatokeaga sana na zinaua kweli mfano ile ya powetools iliua had baadhi ya watanzaniaHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Dar express inatembeaga sana ikishavuka namanga kuelekea kenya maana kule hamna speed limitHata DAR EXPRESS ya NAIROBI nayo ni kinu juani inatembea hatari mule ndani alam inalia mwanzo mwisho no body cares ha ha ha ha ha ha
Check Zambia huko ni 120+ kmhrHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Mleta mada acha uongo. Speed unayoisema ipi wakati gari zimefungwa Vin'gamuzi ukifika speed 85 tu vinasoma nakuleta makelele basi zima. Ilitakiwa ulalamike kwa nn speed ndogo Mbeya gari zinafika saa moja badala ya saa tisa au saa kumi . mikoa kama Mbeya , tabora inatakiwa gari ya kwanza iingie saa tisa jioni. Kigoma saa mbili usiku mashine ipumue stand ya mkoa, mwanza mbili usiku flester iwe ishaingia na ally's
Inaonekana KILIMNJARO BUS ni mbabe ata huko UNYAKYISANI tunaamini kaskaziniHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Sheji mshana jr njooHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Naona jamaa wa abood analala nayo hapo 120 kwenye kona shaaaaa
Ndio DadaNaona jamaa wa abood analala nayo hapo 120 kwenye kona shaaaaa
Huo ni ushamba kujadili mbio za mabasi.Haya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Hiyo mwanza musoma ni route fupi bora ungesema mwanza tarimedar to kigoma au mwanza and musoma tuiteje?
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]miaka ya nyuma Mwaza-Mbeya kabla ya vingamuzi vya spidi havijafungwa kwenye mabasi kuna dereva aliendesha spidi mpaka basi zima wakatapika kasoro mimi tu na dereva.
Hahahaha nimecheka sana aiseeMwaka 98 nilipanda TAWAQUAL ya Kaburu tulitoka Ubungo- Majisaa 12.15 asubuhi. Ndani ya basi kulikuwa na mzee mmoja anahubiri neno alipandia Morogoro, ngoma wakati inakata kona za IYOVU mzee aliacha kuhubiri akaenda kumchungulia dereva, alirudi kimya na INJILI ikaishia pale. Saa 5 hivi tuko Iringa pale Ipogoro. TRAFIKI akatuhoji safari ikoje wahuni wakajibu "poa". Kumbuka hapo kuna basi iliingia mtoni mazima huko Tanga.
Tuliingia Mbeya saa 9 hivi. Nikaulizwa umekuja na JENEZA (Mwamahapa- M Sleeping Coach)? Nikawajibu hapana, hiyo ngoma ilitua nusu saa kabla yetu.
Kumbe umesoma Iyunga mkuu??Mkuu ili jina lako limenikumbusha shule yangu apo uboyzini, ilikua kila tukikaribia kufunga ni story za mabus na speed za kila bus huku tukisubir muda kufika.. kufunga wanafunzi tunaenda kulala stand kuu tukisubir kuondoka alfajir yake apo mabus kama sumry na hood kwa sisi wa Arusha..ila dar kuna mabus kama nganga budget, abood sijui kama bado yapo.. Ilikua shangwe sana kipindi kile
Napaogopa sana pale aisee sehemu nyingine ni kwenye Kona za Nyang'oro panatisha sana jamaniKitonga Moja...hiyo. Ila serikali ikipata ela tena wapanue ile barabara ya kitonga ziwe njia nne. Maana ukiwa kwenye katikati ya semi trela...roho inadunda.
Yes iliua karibia abiria wote nasikia walikuwa 60+Iliyotumbikia mtoni ilikua AIR MSAE ilibeba watoto wa shule ilitumbukia wami
Yah nimesoma apo o level 2009-2012Kumbe umesoma Iyunga mkuu??
ha ha haa, mwamba alilimwa barua kbs na geshi ra porishi"ving'amuzi" havizuii kukimbia gari bali hutoa taarifa mwendo ukizidi limit View attachment 1474454