Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

Kuna kamchezi. Juzkati nilitoka tanga fulani nio pembeni ya dereva. Jamaa anakanyaga zhongtong mpaka 100kph hakuna alarm wala nini.

Kufika wami tukakuta ajali . Tumeruhusiwa mida ya 10:40pm ila by 12:30am nashuka tegeta.

Jaamaa wanapiga kiatu balaa.
 
Ila huku mwishoni kulitokeaga chuma moja ya tunduma siikumbuki jina sana ilikua nyeupe scania malcopolo (ILAS)sinahakika maana nilidandia chalinze nilikua naenda mbeya
 
Lilikuwa linapita Iyunga saa 8:20 ilikuwa ni roho mkononi
Mkuu ili jina lako limenikumbusha shule yangu apo uboyzini, ilikua kila tukikaribia kufunga ni story za mabus na speed za kila bus huku tukisubir muda kufika.. kufunga wanafunzi tunaenda kulala stand kuu tukisubir kuondoka alfajir yake apo mabus kama sumry na hood kwa sisi wa Arusha..ila dar kuna mabus kama nganga budget, abood sijui kama bado yapo.. Ilikua shangwe sana kipindi kile
 
Kuna gati pamoja na hiyo alatm kulia kila dereva anatandika fimbo hivyo hivyo.
 
Iliyotumbikia mtoni ilikua AIR MSAE ilibeba watoto wa shule ilitumbukia wami
 
Hata DAR EXPRESS ya NAIROBI nayo ni kinu juani inatembea hatari mule ndani alam inalia mwanzo mwisho no body cares ha ha ha ha ha ha
 
Iliyotumbikia mtoni ilikua AIR MSAE ilibeba watoto wa shule ilitumbukia wami
No Air Msae ilipata ajali ya kati ya Msata na Chalinze ikaua abiria wengi sana.Iliyotumbukia mtoni ni No Challange dereva alilazimisha kupita kwenye daraja lililojaa maji maeneo kati ya Mkata na segera.Baadae hiyo No Challenge aikabadilishwa jina ndio hii Tashirif Coach ya sasa
 
Kama hii ajali ya juzi tar5 nilikua njiani maeneo ya wami sio poa
 
Kweli mkuu ilikua no challenge wakati wazir mkuu akiwa sumaye akitubia mkwakwani ila sina kumbukumbu sahihi ila mungu atubariki daraja jipya kwa upande wa kaskazini pale wami litakua msaada wa maisha yetu
 
Haya yanatangulia kuondoka pale Ubungo
 
majuzi nimetoka zangu bukoba mapema asubuhi nikaingia saa 5 kasoro dakika kama 18 kahama shinyanga tukakaa mda mrefu sana kusubiri mda uende unaopaswa
nilikuw anakuja huku dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…