Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

"ving'amuzi" havizuii kukimbia gari bali hutoa taarifa mwendo ukizidi limit
 
Si mchezo ligi za magari mbaya sana, o
 
Umenikumbusha enzi za miaka ya 1998 hadi 2000 kulikuwa na basi la masia, lilikuwa inafika Tunduma saa 9:00 mchana kutoka Dar... Chini ya dereva mahiri Deo Kapelege, aisee ilikuwa balaa
Noma sana mzee
 
Siku hz hamna gari zinazokimbia ni chache sana,ila njia ya Mbeya kuna moja huwa iantembea zaidi ya speed ya serikali baadhi ya maeneo maana nillipanda nilishuhudia.Ila kwa sasa sidhani maana mzee wa nyakua nyakua yupo ngangari kamanda muselem haa haa
 
Kama ukiwa muhenga kama mie miaka hiyo tulikua tunakujabkusalimia huko mbeya usiniambie eti mabasi sasa hivi yanakimbia miaka 9+ to 20 kulikua na wamba saa 10 umefika (KISWELE.MTEMA BEACH.M-SLEEPING COACH.TAWAQAL.HEKIMA)nk.ila tawaqal kulikua na dereva anaitwa kabulu mwenye kujua zaidi aje atujuze saul al-saedy zinapita saa 12 jioni mlandizi useme zinakimbia huo ni utani
 
al saedy nalikubali sana[emoji4]
 
... umenikumbusha enzi za SAFINA na COMFORT! Ila balaa zilikuwa hizo mbili ulizotaja KISWELE na MATEMA BEACH ilikuwa hatari sana saa nane mchana MATEMA BEACH hiyoooo inashusha abiria pale Ubungo opposite na Jengo la Tanesco kutokea Mbeya; hatari sana kwa kweli.
 
Hakuna basi linalokimbia hapo, zote speed ni moja tu, wanachofanya ni kuondoa zile simama simama njiani na vituo vya ovyo ili kuokoa muda.
Nadhani na uwezo wa Engine
 
Ni kweli kabisa, miaka ya 99 bus kama la Embakassy lilikuwa linaingia stand Mnazi mmoja saa 12:45 jioni kutoka Mbeya, na hilo ndio lilionekana kuwa slow kuliko yote!
 
Unatakiwa tuu kujua basi siku hizi ikiwai inafika mbeya saa 12:30 jioni. Zamani basi ya kwanza mbeya ilikuwa inafika saa 8 mchana na baadae zikiwa saa tija japo Kuna siku basi moja ilikuwa inaitwa Masia ilifika mbeya saa 7 mchana.
Tunduma tulikuwa tunafika saa 20 na nusu jioni
 
Arusha Mbeya kupitia chalinze na bus za hood Ltd tulikuwa tunafika saa Tatu usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…