Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Wana JF naomba kuuliza,
Ili basi la abiria likidhi vigezo vya kuitwa "luxury" inatakiwa liweje? Nauliza kwa kuwa jana nilisafiri kwa basi kutoka Arusha kuja Dsm kwa basi linalojinadi ni luxury, ndani lina "seat-two by two", tatizo ni mvua ilipoanza kunyesha tulilowa njia nzima, gari halina mziki wala nini, TV zipo za kichovu na hazikuwashwa safari yote, nauli tuliyolipishwa ni ya Luxury, mdada ambaye ni konda/mhudumu majibu yake ni ya nyodo mwanzo hadi mwisho wa safari, jina la basi linaanzia D...........s!!!