Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury
Panda Ratco au Modern Coast Express ndio utajua...
Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury
Scandinavia it was a luxurious thing from unapo nunua tiketi..aina ya tickets. Passengers lounge..kila kitu ulikuwa classic.... Bus zako zilikuwa ni luxury za sina 3 Marcopolo Andare ilikuwa ya chini na Parradisso was the most luxurious with Frige coffee maker..toilet..full AC na kwa lile la Dar-Nairobi ilikuwa ukifika Kibaha wapatiwa breakfast ndani ya bus, ukifika Chalinze pipi, biscuits na soda tena zikiwa na nembo ya Scandinavia.. Baada ya kula korogwe. .wapewa pili Maji soda na napkins za Scandinavia... Hata km mko watano kwa bus halipakii njiani na mtaawachiwa AC to Nrb..Those were luxurious buses si sasa!!!!!!
Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury
Today's I have not gotten ua point clearly.. What au trying to clarify here? based on the nature of ua name it seems you started boarding buses on ua own on this age of this Chinese buses..but ask ua dady he will tell u why even up to now pole are saying we do not have standard luxury bus companies
Scandinavia it was a luxurious thing from unapo nunua tiketi..aina ya tickets. Passengers lounge..kila kitu ulikuwa classic.... Bus zako zilikuwa ni luxury za sina 3 Marcopolo Andare ulikuwa ya chini na Parradisso was the most luxurious with Frige.coffee maker..toilet..full AC na kwa like la Dar-Nairobi.ilikuwa ukifika Kibaha wapatiwa breakfast ndani ya bus,ukifika Chalinze pili,biscuits na soda.tena zikiwa na nembo ya Scandinavia.. Baada ya kula korogwe. .wapewa pili Maji soda na napkins za Scandinavia... Hata km mko watano kwa bus halipakii njiani na mtaawachiwa AC to Nrb..Those were luxurious buses si sasa!!!!!!
Pse come back
Usafiri wa Dar-Mbeya-Dar kuna Ndenjela Jet...kuanzia makonda wao wa kike na madereva utafikiri wamepitia kozi za huduma kwa wateja...Huwezi juta kutumia usafiri wao...kwao mteja ni mfalme, wanamheshimu, wanamjali na kumsikiliza...
Hao jamaa miaka yote toka wameanza business makonda wao ni 'mademu' tu
Ndenjela ndio habari ya mjini.
panda tahmeed coach uje mombasa utaenjoy,full ac,tv tano,vinywaji,siti ni full leather
Wana JF naomba kuuliza, ili basi la abiria likidhi vigezo vya kuitwa "luxury" inatakiwa liweje?nauliza kwakuwa jana nilisafiri kwa basi kutoka Arusha kuja Dsm kwa basi linalojinadi ni luxury,ndani lina "seat-two by two" tatizo ni mvua ilipoanza kunyesha,tulilowa njia nzima,gari halina mziki wala nini,TV zipo za kichovu na hazikuwashwa safari yote,nauli tuliyolipishwa ni ya Luxur,mdada ambaye ni konda/mhudumu majibu yake ni ya nyodo mwanzo hadi mwisho wa safari,jina la basi linaanzia D...........s!!!!
Sasa hivi sijaona luxury njia ya Arusha-Moshi-Dar,hila kuna attachment nimeweka ya Spanish Coach Kenya njia ya Nairobi-Mombasa ndio inadeserve kuwa luxury.
RATCO ya 1by2 ipo vizuri sana, pia modern coast za Nairobi.Mbona hii 'cha mtoto' kwa RATCO? Hebu tafuta humu humu JF kuna threads kadhaa za RATCO uone mambo...