Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Inategemea unazungumzia route gani, kama ni luxury kwa maana ya comfort kuna RATCO route ya Tanga, siti 2 by 1 (sio 2 by 2), friji, choo, ac, sehemu ya kuchajia simu/laptop, huduma za vinywaji na bites, kila siti ina tv, headphones
Mkuu uko serious?
Mkuu uko serious?