figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?
KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala kaingiza Maghari tayari katika bandari ya Dar es Salaam.
Kampuni hiyo ya MOFAT iilidai mabasi haya 255 yatatumia gesi.