mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Mabasi kutoka mikoani yamekwama eneo la mbezi kwa zaidi ya masaa matatu sasa.
Inadaiwa kuna ajali ila watendaji wa jiji na serikali kwa ujumla bado hawajarejea kutoka kwenye sikukuu za krismas hivyo hakuna dalili ya wasafiri kutoka hapo mapema.
kuna abiria waliotoka Arusha tangu saa 12 asubuhi bado wapo hapo.
Pikipiki ziko busy kuvusha watu.
source ni waathirika waliokwama hapo.