Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

Attachments

  • coach-busSCANIA-K410---1539818543462492997_big--18101802222294415300.jpeg
    35.2 KB · Views: 30
  • coach-busSCANIA-K410---1539818543157384538_big--18101802222294415300.jpeg
    43.2 KB · Views: 27
 
Route ndefu ndio lakini ina hela sana...
Siku hizi gari za dar-mbeya zinatembea some time hadi iringa hazija jaza abira,wateja wa hii route wanakimbilia zile gari maarufu/kampuni yenye jina au zenye nauli naafu kama marcopolo za abood ambazo zina delay sana so unakuta hawa wengine wanapakia chini ya bei elekezi then gari haijajaza hadi iringa hapo ni hasara tupu,mfano katagi ya mwanza - mbeya ilitoka mbeya hadi dom inabiria20 tu mwisho wakaamua iwe kama daladala wapakie wale wa njiani njiani yan manyoni-ikungi nk
Mbeya Tanga
Tund-moshi
Route ndefu Sana.lakini Sio mwanzo mbaya maana ndo anaanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…