Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

Umeongea vema sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar lux kipindi cha abiria wengi anatoa basi 3 dar Mwanza nauli 45 kwa 55. Pia zuber Na Kisesa atapeleka basi 3 nauli 40......wakat zuberi Na Kisesa ana jina tangu enzi za shimo Mza ddma.
Inaonekana jamaa hajui kutumia umaarufu wake
 
Duuh...! Umetiririka mkuu. Umeeleweka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napataje mkopo wa hayo madude. Nianze na ma2. Tunduma-Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa inaonekana ukipewa ofisi kampun ya mabas kama business development manager..... Spat picha kampun itatisha.....kongole
 
Niliona bas moja ya kibo safari(confidential) scania .imesimama barabarani kwa mil 140 tu....siku hizi unanunua chases body unachonga..
chassis iko usd 95000 mpaka 120000 darcoach anakuchongea vyote na chassis mpya kwa usd 215000 ila njia nzuri kama unaanza unaweza tumia mfumo wa scania finance ambapo scania wanakuuzia basi zima wewe unapaki ulipa kwa installment kwa hiyo badala ya kununua basi moja kwa cash hiyo
Dar lux kipindi cha abiria wengi anatoa basi 3 dar Mwanza nauli 45 kwa 55. Pia zuber Na Kisesa atapeleka basi 3 nauli 40......wakat zuberi Na Kisesa ana jina tangu enzi za shimo Mza ddma.
Inaonekana jamaa hajui kutumia umaarufu wake
Darlux kinachomsaidia anajitahid sana kwenye elimu, kama tunakumbuka darlux aliwahi peleka wafanyakazi wake china wakajifunze kuhusu utengenezaji wa magari.
Lakin kisesa nadhan anafanya biashara kwa mazoea, mtu kama kisesa ukimwambia aajiri meneja wakuweza kuindesha kampuni kisasa ataona unataka muibia, lakin ukweli kwa nafasi aliyonayo alitakiwa awe ameteka mwanza ipasavyo yaan kila mtu anapojaribu kuvamia soko anachemsha. Matajiri wengi wanadhani kuendesha kazi kifamilia ndo mafanikio lakini anajikuta miaka nenda rudi uko palepale. Darlux asipobadilika naiona kampuni baada miaka kadhaa akiwa mbali sana na kuna watu watafunga kabisa kumpisha na namuona kama atakuja leta mabasi tishio sana
 
Jamaa inaonekana ukipewa ofisi kampun ya mabas kama business development manager..... Spat picha kampun itatisha.....kongole
haha mimi wanipe kampuni iliyo na mangarangara tu bosi anipe muda wa mwaka ila bosi atarget faida tu. Masuala ya kupambana na mikopo na ununuzi wa magari kuajiri kuuza screpa au gari mbovu ila zionekane kwenye mahesabu ziwe zangu. Halafu kusiwe na yale huyu ni mtoto wa mjomba muajiri sitaki
 
Kwenye mambo ya kodi kuchukua mkopo na kutumia fedha zako ni sawa tu. Kwenye mkopo TRA inakubali gharama za mkopo na makato ya faida ya benki (interest expense). Baada ya hapo kama kuna faida yako umepata kwa mwaka unakatwa kodi kama kawaida. Makato ya mkopo sio gharama za biashara kwa hiyo hayaingii kwenye ukokotoaji wa faida ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu Yuko mbioni kuanza route ya dar-mbeya
Ungemfaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio ukweli ni kuwa mkopo si gharama na sio kuwa inapunguza kodi point yangu ilikuwa, kama ukitumia cash kwenye kununua kitu kama gari ile pesa ambayo ulitumia kulipa cash ingeweza tumika kwenye kulipa deni la m
Ok point yangu ilikuwa interest ya mikopo ndo haitakatwa. nashukuru kwa kuongezea nyama
Sent using Jamii Forums mobile app[
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…