Watoto wao wasingepelekwa shule na skulu basi na fiiex fiieiti mambo yangekuwa tofauti
Kungekuwa kuna kujali na kuwajibishana mambo yangekuwa tofauti
Keko na segerea kungejaa wevi wa mali za umma na wala rushwa sirikalini mambo yangekuwa tofauti
Watu wangekuwa na uzalendo na kuyatanguliza maslahi ya wengi kwanza mambo yangekuwa tofauti
Tumewekeza kwenye siasa, tumeipa thamani kubwa siasa tumesahau kwingine na haya ndio matokeo yake!!! Huangaliwi una nini bali una bei gani ...!!!bila kujali umepataje