Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,094
- 9,261
hii sawaya sitaki hata kuisikia maana ilishaweka uhai wangu rehaniMakundi,Sawaya,Mkwema,Mapande.
Sumry hatunaye tenaHapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry
Htunaye tena leo wamekuja sijui akin IbraLine, KidiaOne, Lim, Marangu na mengine hayajulikankBuffalo siku hizi limefia wapi?....
Za UDA?zile isuzu TX.zikitwa nasu mkate ivi bado zipo uko dar?
safina ilikuwa inatokea Nairobi kuja Moshi mjini via namanga watu walitajirika kwa kukwapua marehemu hapo mto karangaHapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry
hii sawaya sitaki hata kuisikia maana ilishaweka uhai wangu rehani
na air msae?SAWAYA si ndiyo Kilimanjaro Express
Matema Beach Sleeping Coach...!Basi leo ngoja niwarudishe enzi za 1980's na 1990's wakati huo nchi ikiwa haijauzwa. Palikuwa na mabasi ya Layland CD wakati huo Scania ndo dili. Mnakumbuka Mabasi haya?
Igesa Line
Kwacha
Safina
Gold Line
Widambe
Mwaafrika
Makete
Siri Yako
Super Star
Railway
Kamata
Bin Klebo Bus Service
Kiswele
Sharuks
Air Msae
Air Chalinze
No Challenge
Air Shengena
Zainab
Scandnavia
Special Video Coach
Tawaqal
Comfort Video Coach
Living Light
Yarabi Salama
Safari Master
Big Mayai
Jupiter
Mbarak
Ruvuma Tours Line
Matema Beach Coach
Unakumbuka nini hapo?
Hapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry