Mabango ya kutaka Freeman Mbowe aachiwe huru kwa vile siyo Gaidi yatinga kwenye Mkutano wa UN huko Marekani

Nimemsikia " we managed to maintain peace, political stability and vibrant democracy.,... Good governance practices " kweli?? Kwa chaguzi za kibabe??? Vyama kuzuiwa kufanya kazi za siasa??? Kubambika kesi???
Wazungu wanamcheka tu !
 
Kwasabb Museven amewakaribisha wa-afghanistan 10,000 kuja kuishi Uganda, basi ktk idadi hiyo hawatakosa watataliban 100.

Tuwatumie vizuri hao wataliban wa Uganda

Tunatosha sana mkuu wala hatuhitaji mamluki.

Vita vyetu ni vya amani. Kwa kuwa tayari kuyajaza magereza yao hata kinyume cha PGO zao kamasi mbona zitawatoka?
 
Hao wamarekani weusi na weupe hawakusaidieni chochote, kama Gaddafi aliuawa kikatili kwa njama za hao hao mabeberu, na dunia ilikaa kimya, sembuse chadema!

Shukuru sana nchi inaongozwa na mwanamke anaejitambua, mpole na mpenda haki. Tumpe muda angalau miaka miwili.
Kinacho kutesa ni kipi!Endelea na huyo mwanamke wako sisi tunafanya yetu.
 
2939404_23FreeMbowe.jpg
Safi sana, Nchi zenye Demokrasia zao na uhuru wa kutoa mawazo bila kuvunja sheria....
 
Back
Top Bottom