Mabango nchi nzima halafu hayasaidii

Mabango nchi nzima halafu hayasaidii

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,580
Reaction score
164,469
Mtu umesambaza mabango nchi nzima lakini bado hukubaliko unategemea dola ikubebe

Mwenzako hana bango hata moja lakini mziki wake unakunyima usingizi

Hakika kibaya chajiuza, chema chajitembeza.

Anywa, haya ndio matokeo ya kupata mafaraka kwa zali la mentali.

Pole sana.
 
Kuna

Kuna nini mdau
 
ALU Arithmetic and logic unit ikiwa na hitilafu computer inawaka kama tube light
 
Athari ya upumbavu ni kutokujua kuwa umpumbavu, ila wanao ona upumbavu wako ni wale waliokuzunguka.

Baadhi ya wale wanaokuzunguka huenda mbali zaidi na kutumia upumbavu wako kwa manufaa yao.

Kinachotokea sasa ni athari za upumbavu wa mtu mmoja kuwa njia ya kutimia kwa dhamira mbovu za werevu wengine.

Mwisho wa siku lawama zinaangushiwa mpumbavu na werevu wanacheka kicheko cha ushindi.

Na hili nalo mkaliangalie.
 
Sisi tunauza mabandari yenu na misitu hata msipotupenda twajilia kiulaini😋😋😋
 
Huyu bibi ni hamna kitu sema chawa wanufaika ndio wanapaza masauti ya kinafki!.
IMG_20240922_035102.jpg
 
Mtu umesambaza mabango nchi nzima lakini bado hukubaliko unategemea dola ikubebe

Mwenzako hana bango hata moja lakini mziki wake unakunyima usingizi

Hakika kibaya chajiuza, chema chajitembeza.

Anywa, haya ndio matokeo ya kupata mafaraka kwa zali la mentali.

Pole sana.
Uasi dhidi ya serikali
 
Wanaacha kupeleka hizo pesa kwenye ujenzi wa miundombinu ya barabara badala yake wanajaza mabango ya mtawala ambayo hayatusaidii, upumbavu kabisa na huo udaktari wa zawadi.
 
Nasema usipotajirika wakati huu basi hutajiriki tena,mabasi yanaongezeka,sheli zinajengwa kwa kasi,gharama za maisha zinapanda kila siku.
Ila katika vyote inflation ni kitu kibaya sana na kinaumiza.
Raisi anayeweza kuja na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei ni raisi mzuri.
 
Back
Top Bottom