Ninakodisha nyumba ya kukaa ya vyumba viwili,dining,sitting room na servant quarters yenye vyumba viwili nje na mabanda ya Kuku kwa kodi ya 650,000/-kwa mwezi kodi napokea kwanzia miezi 6 au mwaka.yapo eneo la tegeta masaiti mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala wakati anasimamia Kuku Mradi wako Wa kuku. Mabanda yapo ndani ya eneo ninapoishi so yapo secure ndani ya ukuta.maji ya dawasco na umeme upo tayari ila atakapoanza mradi wa kuku hizo ni gharama atakazolipia kwa kuligana na matumizi yake kwa mwezi. Chicken drinkers na feeders zipo pia kama atazinunua.you can whattsap me on the following number for other pictures and inquiries.0756661761 or call 0678 884320 kwa maelezo zaidi