Mabanda ya kisasa ya Kware, Yanakusanya Mayai na Mbolea yenyewe

Mabanda ya kisasa ya Kware, Yanakusanya Mayai na Mbolea yenyewe

Jasonjamestz nimekupigia ila simu yako iko extra busy, kuna namba ilikupigia ya eateli inaishia 54 nilitaka kujua price ya hio banda na bei ya Kware pia. Thanks
JasonJamestz
Pole natumaini nilikupigia baada ya missed call.

Banda la kware 50 ni laki 2
banda la kware 100 ni laki mbili na nusu
banda la kware 200 ni laki nne
banda la kware 260 - 300 ni laki tano
banda la kware 500 ni laki 6
banda la kware 1000 ni 1M.

 
View attachment 237545View attachment 237546View attachment 237547

Taarifa: Tembelea KWARE TANZANIA


​
1. Banda hili lina uwezo wa kubeba kware 250 - 300


2. Banda hili linauwezo wa kuwahudumia chakula kware 80 kwa wakati mmoja na kuwahudumia maji kware 60 kwa muda huo huo.


3. Banda lina mfumo wa maji wa dharura pale utapochelewa kuwaongezea maji kware.


4. Banda lina mfumo wa kukusanya mayai na kinyesi cha kware bila kuwagusa.


5. Banda ni jepesi na rahisi kulihamisha.

Namba ya simu ni 0785402424

Mkuu uko maeneo gani? mimi ningependa ufike nyumbani ujaribu kufanya assessment ya eneo langu na kutoa ushauri kulingana na eneo husika
 
Pole natumaini nilikupigia baada ya missed call.

Banda la kware 50 ni laki 2
banda la kware 100 ni laki mbili na nusu
banda la kware 200 ni laki nne
banda la kware 260 - 300 ni laki tano
banda la kware 500 ni laki 6
banda la kware 1000 ni 1M.


Mpwa Asante kwa taarifa, nataka niweke hilo banda nje ya Dar. Inakuaje? Unalitengeneza halafu nalibeba au unakwenda kutengenezea huko huko?
 
Back
Top Bottom